Maguli ya namungo na simba смотреть последние обновления за сегодня на .
Dar Es Salaam Tanzania
magoli yote simba vs namungo (2-1) leo Mapinduzi Cup mzamiru man of the match
Hottest Entertainment videos straight out of Tanzania and africa.
RUVU 0-7 SIMBA: Mabingwa watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Simba SC wameichaka Ruvu Shooting mabao 7-0 katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika ushindi huo Clatous Chama amepiga #Hattrick yake ya kwanza tangu kurejea Msimbazi, huku John Bocco akifunga mawili, Jimmyson Mwanuke moja na Ruvu Shooting wakajifunga moja.
Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Instagram: 🤍 Google Plus: 🤍
Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. Mpenja Tv tukapata muda wa kuzungumza na Msemaji wa ruvu shooting Masau Bwire amefunguka hayaa.... #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #MpenjaTv
#Mzamiru #SimbaSC #Kiufundi
#FCPLATINUM #SIMBA #YANGA #MAGULI #KAGERE
#lindiyetutv #simbasc #magufuli SIMBA SC BADO WATESEKA NA DENI LA RAIS MAGUFULI Thank you for being a family member, for Entertainment News, Politics and Sports, You can find the Lindiyetu Online App for Android from here: ► 🤍 - Follow us on Social Networks: - ►Instagram: 🤍 ►Facebook: 🤍 ►Twitter: 🤍 ►Website: 🤍lindiyetu.co.tz - #Simba #yanga #KageraSugar #Kiiza #NBCPremierLeague #manara #AmhmedAlly #Chama #Usajiliwachama #barbara #chamakurudisimba #MsheryYanga #Diarra #millardayo #bongostarsearch #MapokeziYaSimba #KombelaMapinduzi #AzamFc #PasiMillion #mayele #magoliyasimba #feitoto #Mkude #Sakho #Tepse #livestream #namungo #usajilisimba #denisnkane #HajiManara #allykamwe #usajilimpya #morison #vitukovyamorrison #uchambuzi #simbalive #mzeewautopolo #Sekeli #ihefu #magoliyoteyaleo #asfc #mechizaleo #makambo #onyango #jktTanzania #hajimanaraleo #mzaramowasimbaleo #mangunguleo #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #mackyanga #AzamSportsFederationCup #activemedia #azamtv #azamtwo #MasauBwire #modewji #Georgeambangile #huba #juakali #maishamagicbongo #kitasa #ndoano #bondita #kombolela #bekitatu #dstv #kulfi #sinemazetu ©2017 - 2022 Lindi Yetu TV, Fahari Yetu. All rights reserved.
🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC. Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥 Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa. #NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri #BonaTV #Exclusive #Simbasc #Yangasc #Azamsc #namungo #Hajimanara
Simba stunned by minnows Coastal Union at the quarter finals of 2015/16 Azam Sports Federation Cup
🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC. Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥 Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa. #NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV
NGUMI ZAIBUKA BAADA YA YANGA SC KUPEWA PENATI, KADI NYEKUNDU NYINGINE... 🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC. Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥 Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa. #NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV
#FCPLATINUM #SIMBA #PERFECT #CHIKWENDE #UWANJAWAMKAPA
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Instagram: 🤍 Google Plus: 🤍
RUVU VS SIMBA: Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC, Simba SC leo wamepata ushindi wao mkubwa zaidi msimu huu wakiitandika Ruvu Shooting mabao 3-1 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Medie Kagere amefunga magoli mawili na Kibu Denis amefunga goli moja huku Erasto Nyoni akikosa penati iliyookolewa na golikipa wa Ruvu, Mohamed Makaka. Goli pekee la kufutia machozi kwa Ruvu limefungwa na Elias Maguli. Haya hapa magoli #NBCPremierLeague #NBCPL
Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. Mpenja Tv tukapata muda wa kuzungumza na Mashabiki wa simba wamefunguka hayaa.... #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #MpenjaTv
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news🤍gmail.com ⚫️ Website: 🤍dar24.com ⚫️ Instagram: 🤍Dar24Tz ⚫️ Facebook: 🤍dar24news ⚫️ Twitter: 🤍Dar24News #Dar24 #Dar24Media
“..tunakwenda kupambana…” - Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Salim Abdallah, amesema anaamini kwenye mechi za ligi watafanya vizuri lakini kwa sasa jambo kubwa ni kuiona Simba ikifanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa . #AzamSports1HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #YangaSC #Simba #Namungo #SimbaNamungoKimataifa Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍
MO DEWJI atoa somo ZITO kwa SIMBA SC
Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : 🤍 Instagram : 🤍 YouTube : 🤍
Ijue farsafa ya FC PLATINUM na Aina ya wachezaji,mfumo inayotumia,first Eleven yao, ukubwa wao na uzoefu wao wa CLUB BINGWA AFRICA USISAHAU KUSUBSCRIBE, KU LIKE NA KUCOMMENT ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI,NA MATUKIO MBALIMBALI YA KIMICHEZO NDANI YA JAMES UPDATE
Dar es Salaam. Simba wamewasisitiza mashabiki wao kumwagika kwa wingi kesho kwenye Uwanja wa Mkapa, lakini kipa na nahodha wa FC Platinum, Petros Mhari amesema wataongeza umakini maradufu kwavile wanakumbuka dhahama waliyopata kutoka kwa Yanga. Alisisitiza kwamba kamwe hawawezi kurudia makosa kama ya kipindi cha pili waliyofanya dhidi ya Yanga mwaka 2015 kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika na kujikuta wakiloa mvua ya mabao. Katika msimu huo ambao FC Platinum walitolewa na Yanga walishindwa kumudu mchezo kipindi cha pili kutoka na hali ya hewa ya joto ambayo walikuwa hawajaizoea kwa kuchelewa kuwasili Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 5-1 nyumbani na kufungwa bao 1-0 ugenini. Platinum ambao waliishinda Simba kwao bao 1-0, tayari wapo Dar es Salaam tangu Jumamosi. Kipa huyo alisema jana kwamba walijifunza sana kutokana na makosa yale na hayatajirudia kwenye mechi na Simba kesho na hata mazoezini mpaka kambini wamekuwa wakikumbushana hilo lisijirudie. “Tumeambiwa mpaka mazoezini kwamba tunapaswa kupambana mwanzo mwisho, vipindi vyote viwili ili tusirudie yale makosa yaliyotutoa,” alisema. Leo TV inakupasha Habari na Matukio Mbalimbali katka Nyanja Zote Bila Mipaka. #LeoTV 🤍
KATIKA MCHEZO WA NBC PREMIER LEAGUE SIMBA SC WANAWEKA MABAO MATATU KAMBANI KATIKA KIPINDI CHA KWANZA HUKU GOLI LA MAPEMA LINAFUNGWA NA MEDDIE KAGERE DAKIKA 16, GOLI LA PILI LIKIFUNGWA NA MEDDIE KAGERE TENA DAKIKA YA 36 NA GOLI LA TATU LIKIFUNGWA NA DENNIS KIBU
Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. Mpenja Tv tukapata muda wa kuzungumza na golikipa wa ruvu shooting Mohammed Makaka amefunguka hayaa.... #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #MpenjaTv
#Arusha #KismatyTv

#TOPLEVELTZ